Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







0677445508
NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI (STAND ALONE HOUSE FOR RENT)
INAPANGISHWA BEI NI 700,000/=x6
💥 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 5 VIKUBWA VYA KULALA, 3 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#BUSTANI NZURI
#PARKING KUBWA
#ELECTRIC FANCE (FENSI YA UMEME)
#PAVING
BEI NI 700,000/= X 6
🇹🇿 NYUMBA HII IPO ST.JOSEPH UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA KIBAMBA
UMBALI 2KM PIKIPIKI 1000-1500 ZINGATIA UMBALI NDUGU MTEJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
Ukipenda dalali mwezi 1



















