Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Ukonga Bomba mbili, Dar Es Salaam (300 sqm)






Aina
Nyumba
Vyumba
6
Ukubwa
300 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba inauzwa Ukonga Bomba mbili stend wilaya ya ilala Dar
📌BEI MILION 18 (usiogope)
Vyumba vipo 6 kimoja masta (PIA WAWEZA KUFANYA IKAWA NYUMBA YA FAMILIA)
Nyaraka ya serikali ya mtaa
Eneo sqm 300 (makadilio)
Unatembea tu had stend
Gari inafika
Whatsap au piga 0673 601 114




















