Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Kivule Sokoni, Dar Es Salaam (430 sqm)


Aina
Nyumba
Vyumba
8
Ukubwa
430 SQM
Sifa
Maelezo
NYUMBA MBILI PAMOJA, TSHS.42 MILIONI,KIVULE SOKONI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.430.
Umiliki MKATABA WA MAUZIANO.
Jumla kuna vyumba vya kulala 8.
Kuna nyumba yenye vyumba 5.
Na yenye vyumba 3.
Eneo ni jirani na Kituo cha Daladala na ni Gari moja kufika Mjini.
WAHI HII ITAKUFAA SANA.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________mskv



















