Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT SAFI KABISA 170k
LOCATION
KIMARA BARUTI BRBR YA CHUO KIKUU
KM 1TOKA MOROGORO RD BODA BUKU
BEI NI 170X6
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
LUKU ATAFUNGA YAKE
MAJI SAFI YA DAWASA NNJE
NA MADIRISHA YANAWEKWA YA ALMINIUM
ZIPO 3 NDANI YA COMPOUND 1. NDANI YA FENC
KUIONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA KAMA UTALIPIA NYUMBA
0713320608
0686334182