Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INA PANGISHWA KIMARA TEMBONI
KODI 170000X4
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
MAJI MITA YAKO
UMEME LUKU YAKO
HAIPO NDANI YA FENSI ILA PARKING SPACE KUBWA SANA
UMBALI KM 2.
BAJAJI 700
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA