Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🗯️ Inapangishwa KIMARA BARUTI
📍 Kodi 170,000 X6
_____
_____
• Jiko
• Sebule
• Chumba Master
• choo cha wageni
* Inajitegemea UMEME
* Ndani ya Fensi
* HAINA Parking
* Maji ndani
* Sliding windows
#Umbali 1.5KM kutoka kituo cha Mwendokasi, usafiri bajaji 700, ukushuka unatembea dk 2 tu
📌 Angalizo: Kodi Inaambatana na hela ya tahadhari (caution money) 100k, Unavyohama inarudishwa kama haijaharibu nyumba
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 170,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
№:- 0753172516