Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI KALI YA KISASA INAPANGISHWA
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM. 2
USAFILI BAJAJI 700/=
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA NA SEBULE
KUBWA SANA CHOO NNJE CHA KWAKO MWENYEWE NDANI YA FENSI
ZIPO MBILI TUU NDANI YA FENSI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YAPO CHOONI
KODI. 120,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000
DALALI 120,000
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637