Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK4 KWA MIGUU KUTOKA LAMI INAKUWA WAZI TAR 2 4 2024 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
----
Vyumba 2 vya kulala hakuna master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Luku yako
Tiles
Gypsum
Madilisha ya kashata
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
-----
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=×6
-----
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.5
-----
Contact
📞#0693__673010
📞#0676_218580 (WhatsApp)
#dalali_big_kimara🇹🇿🇹🇿🍾
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏