Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NEW NEW APARTMENT FOR RENT##KIMARA MWISHO.
•••••••••••••••••••••••••••••••••••

NYUMBA MPYA NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO #KIMARA_MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.

ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO NJIA IENDAYO KIMARA BONYOKWA.

HIZI APARTMENT ZIPO ATUA YA MWISHO KUMALIZIKA RUKSA KUONA NA KULIPIA

ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI NA BEI TOFAUTI =

GHOROFA = KODI NI 500,000

ZA CHINI = KODI NI 400,000 /=

SIFA ZAKE =

VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI.

••••••••••••••••••••

NOTE =
HIZI APARTMENT ZIPO 8 KWENYE COMPAUND MOJA NA ZINA NAFASI YA KUTOSHA HAZIJABANANA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI

ZITAKUWA TAYARI KWA KUHAMIA TAREHE 01 /4 / 2024 RUKSA KUONA NA KULIPIA KWA MPANGAJI AMBAYE HANA HARAKA.

KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=

MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MWEZI PINDI ULIPIAPO NYUMBA

ZIPO APARTMENT ZA BEI TOFAUTI GHOROFA LAKI 500,000 NA ZA CHINI KODI NI LAKI 400,000 /=

••••••••••••••••••••

FINISHING YAKE = FULL PAVING BLOCK ZINAWE, MADIRISHA ALUMINUM, REZEV SIMTANK, PARKING SPACE KUBWA YA KUTOSHA.

dalali ambwene ubungo
dalali_ambwene_ubungo
dalali ambwene ubungo

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KODI 150,000X6 CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO ANAHITAJIKA MSELA WA ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Nyumba inayojitegemea yenyewe inapangishwa ipo kimara korogwe maeneo ya kilungule kwa mwarabu (Darwe...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASANDANI YA FENCE, USALAMA 💯%MASTER BEDROOM NA JIKOINAPANGISHWAKIMARA TE...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Chumba, seble, jiko na choo. *KODI 300K* Kimara kona. Ndani ya fens. Umeme & Maji unajitegemea. Maji...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

*APARTMENT NZURI SANA* *INAPANGISHWA**KIMARA TEMBONI**NIMEISHUSHA MIEZI👇🏃🏻‍♂️*💥 *KODI YAKE 200K ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KODI 150,000X6 CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO ANAHITAJIKA MSELA WA ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#IPO WAZI IPO WAZI IPO WAZI KODI NI 250X5, 6. NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA .KODI NI 2...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 4🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUM...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 4🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUM...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

#KODI 300K MALIPO MIEZI X 6LOCATION KIMARA KOROGWE KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2BAJAJI SH.500 UKISHU...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

(270,000X6)KIMARA MWISHO 2KM BAJAJI 700NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*VYUMBA...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

(270,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*VYUMBA...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

#KODI 300K MALIPO MIEZI X 6LOCATION KIMARA KOROGWE KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2BAJAJI SH.500 UKISHU...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

HAPA MBIO ZAKO TUU NDUGU MTEJA BEI NI 500,000/= X 6💥APARTMENT INA SIFA ZIFUATAZO #VYUMBA 3 VIKUBWA ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT KUBWA NZURI INA PANGISHWA KODI 180,000X3NI CHUMBA MASTER SEBULE NA BARAZA KUBWA LA KUPIKIA...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELF...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

MPYAA MPYAAA MPYAA KABISA ZINA PANGISHWA KODI 250,000X6 LOCATION: KIMARA TEMBONIUMBALI MITA 800 FOR ...