Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTIMENTS INAPANGISHWA KIMARA SUKA UMBALI KM 1.5
90,000/= X5/6
------------------------------
📌Mahali:KIMARA SUKA(Dsm) 🇹🇿
Umbali: 1.5Km BAJAJI 700
_________________________
MUUNDO
✔️Chumba Master
✔️Ni Kubwa Sana
✔️ Madilisha 2 Makubwa
✔️ Tiles & Gypsum
✔️Mazingira Mazuri
✔️Nyumba Ya Kisasa
____________
HUDUMA
✔️Maji(Dawasa)Yapo Ndani
✔️LUKU YAKO
Ndani Ya Fensi &Parking
➖➖➖➖➖➖➖
KODI;
90,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 5 + Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
#NAFAULISHA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI