Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM KUBWA SANA, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW CHOONI
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE HAKUNA, LUKU SUBMITER WAWILI
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2.5, BAJAJI, NOAH700/=
*KODI 100,000/= KWA MWEZI
_____________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347