Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


Master bedroom, Sebule na Jiko 400k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Madale📍
• Choo kipo Ndani Cha Public
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Full Air Conditioner✅
• Electric Heater
• Independent Electricity & Water meter
• Fence Na Parking Uhakika
• Kutoka Barabarani ni Mita 700
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 400k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Mitatu (3)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/Whatsapp📲