Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa
Ina Vyumba Viwili Vya Kulala, Sebule, Dining,Jiko (Makabati ) na Choo Cha Public (Cha ndani)
Mahali : Mbezi Beach upande wa chini , Karibu na Shule ya Jk Nyerere 
Bei : 500,000 Tsh Kwa Mwezi,
Ziko 3 Kwenye Compound 
Inajitegemea Kwenye Umeme
Call WhatsApp 
0785950618




















