Nyumba inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


MILLION 38, NYUMBA INAUZWA.
KULACHUMA HICHO KAZI JUU YA KAZI YANI KAMAULIKOSA NYUMBA BUNJU …….MZIGO HUOHAPO 
NYUMBA IPO MBEZI MSUMI 
NYUMBA NIMPYA KABISA INA 
VYUMBA V3 SEBULE JIKO CHOO
UWANJA UNA MITA 20kwa20
MAJI UMEME VIPO NA NYUMBA NI MPYAAAAA.  KUTOKA MSUMI STENDI MPAKA KWENYE NYUMBA NI  MITACHACHE SANA
INAKWENDA KWA BEI YA MILION 38. Na MAONGEZI YAPO YA KUTOSHA 
WAHI IWEYAKO TUPO NUSU MWAKA SASA MILIKI MJENGO 
KARIBU HII NIOFAAAA YA JIONI YA LEO



















