Nyumba inauzwa Kibaha, Pwani


NYUMBA INAUZWAA NYUMBA IPO MKOA WA PWANI KIBAHA MAIR MOJA
PIGA SIMU 0755831740
NYUMBA IPO MWANALUGALI SHULE YA SCONDARY
NYUMBA NI MBILI KWA MOJA INAPANDE MBILI
UPANDE WA KWANZA KUNA VYUMBA V3 SEBULE JIKO DAINING PUBLC CHUMBA MASTER
NA WA PILI PIA HIVYOHIVYO
ENEO SQM 6000
IPO MTAA MKUBWA SANA
BEI MIL 100
MAONGEZI YAPO
BODA 2000
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
KARIBU SANA MTEJA