Nyumba inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


UNFINISHED HOUSE FOR SALE
HII NI BONGE LA OFFER
MAHALI KIBAMBA SHULE KIBWEGERE OPPOSITE NA SHULE YA ABBY ENGLISH MEDIUM
UKUBWA WA PLOT NI 40x20(SQM800)
PLOT INA HAT YA SERIKALI YA MTAA
UMBALI 3KM KUTOKA MOROGORO ROAD
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SITTING ROOM
DINNING ROOM
KITCHEN
STORE
PUBLIC TOILET
UMEME USHAWEKWA
MAJI YAPO
SHIMO LA CHOO TAYAR LIPO LILE LA KISASA
BADO KUNA ENEO KUBWA LIMEBAKI
ENEO LOTE LIMEZUNGUSHIWA FENS
BEI 55,000,000/=
SITE VISIT FEES 30000/=
☎️ #0757208653