Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







IYO YA CHINI KABISA NDIYO IPO WAZI
APARTMENT NZURI MPYA KABISA INAPANGISHWA
KODI NI 250,000 ร 4/5/6
LOCATION: KIMARA MWISHO
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
๐SEBULE KUBWA
๐CHUMBA MASTER KIKUBWA
๐JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI TAXS NOAH 500 UKISHUKA DK 2 UPO NDANI
๐INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO
๐MAJI YAPO DAWASA 24HRS YANAFLOW NDANI 24HRS
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU HARAKA
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp