Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Price: 200,000 ร 6 0714 418 005
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA
๐น๐ฟ KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANAONGELEKA NDUGU MTEJA
๐ฅ APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO(SOMA MAELEZO KWA UMAKINI)
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
#CHOO CHA PUBLIC CHA KWAKE NDANI KWA NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
โผ๏ธHAKUNA JIKO
#PAVING
#CAR PARKING KUBWA ๐
Location: KIMARA TEMBONI
UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU AU UKIPANDA BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
CONTACT US: 0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp