Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 3 KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWENDOKAS TERMINAL.
Chumba Master
Sebule
Tails
Gypsum
Madirisha Shata Mazuri
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yapo nje
Ndani ya fensi parking ipo
--------
Kodi ni laki 170,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
---------
NB.
HII NYUMBA HAINA JIKO NI CHUMBA MASTER SEBULE TU .
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI