Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam







*KIWANJA KIZURI CHENYE HATI KINAUZWA BUNJU B BLOCK 14 (MABWEPANDE ROAD π£οΈ)*
*UKUBWA WA SQM 940*
*KIMEPIMWA NA KINA HATI SAFI YA WIZARANI*
*BEI NI MILLION 45 TU*
_ Kiwanja ni Cha Pili kutoka Barabara Inayongoja RAMI
_ Kiwanja Kina UMEME NA MAJI
_ Kiwanja Kiko TAMBALALE na Karibu na Huduma zote za Kijamii
_ Umbali wa km 4 kutoka Barabara kuu ya BUNJU
_ Usafiri ni Boda 2000 au Bajaj 1000, Gari Mpaka Kiwanjani.
_ Eneo ni Potential Kwa Makazi Binafsi, Apartments za Wapangaji, Nyumba ya Wageni Nk..
*SURVEY CHARGE NI ELFU 30*
SIMU
0712656027