Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Plot nzuri sana inauzwa ipo kigamboni kibada imegusa barabara mbili unaingilia pale chekechea
- Ukubwa sqm 1,001
- Plot iko nyuma ya shule ya wasabato
- Ina hati miliki safi
- Bei TZS 65 million
☎️ ( +255 629 827 031 ) DM or WHAT'S APP for MORE INFORMATION
#realestate #protforsale #plotforsell #kiwanjakinauzwa #propertyforsaletanzania #daressalaamcity