Kiwanja kinauzwa Mabibo, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KIZAMANI/KIWANJA SQM.600, TSHS.350 MILIONI, MABIBO MSIKITINI.
Ni nyumba ya kizamani.
Kiwanja cha kwenye kona.
Panafaa kuweka Jengo jipya la Makazi au Biashara.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
+255714591548
____________tw
Kuna vyumba vingi na Maduka kwa sasa.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.