Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam







Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kipo ndani ya fensi na Kina jamvi la kighorofa
Ukubwa-sqm 1000
Kumepimwa Hati bado
Bei-ml 55 maongezi
Location- madale msigani
Umbali-km 3 kutoka main road wazo bwawani
Na mita 150 kutoka barabara kubwa ya msigani inayowekwa lami kwa sasa
Karibuni
0782 724 115 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿