Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam






Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kipo mtaa mzuri sana na kinafensi pande 2
Ukubwa-sqm 1800
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 160 maongezi
Location- madale mkoroshini
Umbali-km 1 kutoka main road mkoroshini
Karibuni