Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA IPO MADALE MIVUMONI CENTER
Umbali km 1.5 kutoka madale road
BEI: INAANZIA MILLION 130
UMILIKI: KIWANJAKIMEPIMWA UKINUNUA HATI INAKUWA KWA JINA LAKO
, KIWANJA KINAUKUBWA WA SQUARE METERS 450
TAARIFA ZA NYUMBA
◇ Nyumba imekamilika ina Vyumba 3 vyote master
◇Ina finishing safi
◇Sitting room
◇Dinning room
◇Open Kitchen
◇Public toilet
◇Ina maji
◇Ina fensi
◇ Ina umeme
◇ Ina parking ya kutosha
For more information Tupigie 📞0673 200 848 au 0768 007 315
Karibu tuzungumze.