Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


PAGALE LIPO MADALE MIVUMON 
LINA VYUMBA V3 VYOTE MASTER 
SEBULE KUBWA JIKO CHOO MASHIMOYA MAJI TAKA Tayari 
MAJI DAWASKO YAPO UMEME Umefika
 NYUMBA INA HAT MILIKI SAFI KUTOKA WIZARA YA ARDHI 
UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 400 
MITA CHACHE KUTOKA LAMI NA MTAA 
BEI NI MILION 39.9 
+255789148277



















