Kiwanja kinauzwa Nala, Dodoma





DODOMA ( NALA)
👉6KM KUTOKA DODOMA MJINI
👉100METERS KUTOKA BARABARA KUU
*KWA NALA* *(Sqm 1=20,000 tsh cash, Sqm 1=23,000 tsh installment*)
✅bei ya cash inakua 8,000,000 tsh unalipa kwa muda wa miezi 3 kila mwezi 2,666,666.67 tsh
✅bei ya installment inakua 9,200,000 tsh unaanza na 20% down payment ambayo ni 1,840,000 tsh kama first installment alafu inayobaki ambayo ni 7,360,000 tsh ambayo unailipa kwa miezi 12 kila mwezi 613,333.33tsh