Kiwanja kinauzwa Wazo, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa, Ipo Tegeta Wazo, Kontena.
Ukubwa wa kiwanja Sqm 1350, Nyumba ina Vyumba Vitano, Vitatu Master, Sitting Room, Dining, Kitchen na Public.
Bei ni Milioni 150
Maji ya Dawasa
Tanesco
Gharama za Kuona 20000
Wasiliana nami kwa namba
0719082300
0692904876
Dalali mbezi bech afirikana