Nyumba inauzwa Mawasiliano, Morogoro

 media -1
media -1
Sh. 200,000

*KABLA YA KUANZA UJENZI SOMA HAYA MAELEZO KUHUSU MAKADIRIO UTANISHUKURU BAADAE*

Katika Post hii blchomes tunakuelezea vitu vya kuzingatia unapofanya bajeti yako ya kuanza ujenzi au hatua yoyote ya ujenzi, iwe plumbing, wiring, skimming, tiles n.k ⬇️

Usisahau kusave post hii kwani itakusaidia baadae kwa sababu asilimia kubwa ya kazi za ujenzi zinasimama au kuishiaa katikati kwa kukwama hapa

🔰... *Tiririka nayo*⤵️ ➡️

Ukishapewa makadirio ya ujenzi na fundi wako, kitu ambacho inabidi ukiweke kichwani ni kwamba, shughuli za ujenzi zinakubwa na mabadiriko/changamoto nyingi ambazo zitahitaji hela ya ziada ukitoa ile ya makadirio uliyopewa na fundi.

➡️ Changamoto au mabadiriko hayo ni kama vile hali ya hewa(mvua), mabadiriko ya bei ya materials kukosewa kwa makadirio, kuharibika kwa materials katika usafirishaji au utunzaji n.k.

Mabadiriko au Changamoto hizi zote zitahitaji fedha ambazo mara nyingi hazipo kwenye Makadirio ya awali uliyopewa

➡️ Kipi unatakiwa kufanya ukipewa makadirio na fundi ili usikwame? ⬇️ ➡️

Hakikisha makadirio yoyote unayopewa ongeza asilimia 10 mpaka 20 ya ile hesabu uliyopewa ili kuepukana na hizo changamoto.

➡️ Kwa mfano makadirio ni Tsh 2,000,000/= materials pamoja na ufundi .

Basi kabla ya kuanza ujenzi au hatua yoyote ya kuendeleza jengo basi hakikisha una kiasi kisichopungua Tsh 2,200,000. Hii 200,000 ya ziada itasaidia pale changamoto au mabadiriko ya bei yanapoibuka.

Blchomes tunaendelea kufanya ujenzi kuchora ramani na tunakusaidia kufanya makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yako au jengo lolote

Umeipenda post hii?

Basi like na kushare kwa marafiki ambao unahisi itawasaidia.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie au WhatsApp number 0742892195

#ujenzinafuu#ujenziwqnyumba#ujenzighorofa#building#siteprogress#kujenga#3bedrooms#4bedrooms#3bedrooms#ujenzinafuu#ujenzidaressalaam#nyumbazakisasa#nyumbanzurisinza

real estate company _ Tanzania
blchomes_
real estate company _ Tanzania

Similar items by location

Frame inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 500,000

FREM @Inapangishwa @Bei 500,000 kwa mwez @Mahali kijintonyama@Malipo miez 6 na dalali 7@Pazur sanaa@...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 500,000

APARTMENT FOR RENT. NYUMBA NAFAULISHAITAKUWA WAZI TAREHE 1.3.2026NYUMBA NZURI INAPANGISHWA LOCATION...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 600,000

INAPANGISHWA STAND ALONE CLASSIC SANAMAHALI: MAKULU JIRANI NA LAMI-----------------------------MUU...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 30,000

STAND ALONE@Inapangishwa @Bei 1.700.000 kwa mwez( maongez)@Mahali sinz@Ni nyumba ya vyumba 3 sebule ...

Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 20,000,000

UMEBAKI UWANJA MMOJA HAPO SQM 700 BEI MILLION 20 VETA ULAMBYA MBEYA JIJI MAWASILIANO 0756258721

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 400,000

🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA➖➖➖➖➖📍Kimara Stop Over🕑Dakika 15 Kutembea toka Morogoro Main RoadPIGA ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 380,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 380,000/= X 6BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI L...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 30,000

Apartment kali sanaa@Inapangishwa@Bei 250.000 kwa mwez@Mahali urafiki@Malipo miez 6 na dalali 7@Umem...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 800,000

0679 997610 NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA BE...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 800,000

NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA BEI NI 800,000...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 350,000

APARTMENT INAPANGISHWA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA SELF SEBURE NA JIKO INAJITEGEMEA UMEME IK...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 200,000

#APARTMENT MPYA YA KISASA KABISA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO NJIA YA GOBA.APARTMENT HIZI ZINA SIFA Z...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI INAPANGISHWA BEI 150,000/= X 6💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 30,000

Apartment kali sanaa@Inapangishwa@Bei 250.000 kwa mwez@Mahali urafiki@Malipo miez 6 na dalali 7@Umem...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 250,000

INAPANGISHWA APARTMENT CLASSICMAHALI: MLIMWA C📌-----------------------------MUUNDO WA NYUMBA⏭️CHUMB...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 350,000

NYUMBA NZIMA INAPANGISHWA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA SELF SEBURE NA JIKO IKO RRM SAE NANE N...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO N...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 500,000

APARTMENT IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA 500KITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/02/2026 DALALI MZOEF...

Nyumba inauzwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 200,000,000

NYUMBA YA KUBOMOA INAUZWA INATAZAMA LAMI (PRIME AREA)______MAHALI-UZUNGUNI(MTAA MZURI-USHUANI)______...

Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 8,500,000,000

KIWANJA KIZURI KISASA POLISI KINATAZAMA LAMI KIPO KARIBU NA DAR ROAD/MORO ROAD(KIMESHUKA BEI)_______...