Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
Sh. 100,000 per sqm
Project
Yes

SWIPE LEFT ➡️ UONE VIWANJA VYETU VIZURI

BUNJU BEACH, Bunju ambayo upepo unavuma kutoka baharini moja kwa moja ambayo ipo juu.

➡️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➡️ Hapa tumepima viwanja 17 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo.

➡️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan bunju beach wengi mnaijua kwa kupangika.

➡️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➡️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➡️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

𝗕𝗘𝗜 𝗭𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗘

Hapa tunauza sqm 1 kwa 100,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 45MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 446 mpaka sqm 875.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa mwezi 1, utaanza na 80% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya mwezi 1 tu.

𝗨𝗠𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗣𝗥𝗢𝗝𝗘𝗖𝗧 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani uwanja wa simba road.

𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗟𝗘𝗭𝗢 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗧𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗘 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu 𝗧𝗘𝗩𝗜 𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗥𝗖𝗜𝗔𝗟 𝗣𝗔𝗥𝗞(𝗶𝗹𝗶𝗽𝗼 𝗡𝗕𝗖 𝗕𝗔𝗡𝗞), 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗕𝗘𝗔𝗖𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗞𝗜 𝗕𝗢𝗩𝗨 - 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 380,000,000

NEW HOUSE FOR SALELOCATED AT BUNJU BEACH MOGASELLING PRICE: TSH 380 MILION WITH A CLEAN TITLE DEEDWi...

Frame inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 60,000

29/4/2025Frem inapangishwa Location bunju b mabwepande Kodi 60000 kwa mwezi Miezi 3 au 6Piga simu O7...

Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 80,000 per month

Thank you 😊 🙏 Master za 80000 kwa mwezi za bunju A shule zimelipiwa zote by makini Kwa mahitaji ...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

Date 29\\ 04\\ 2025HOUSE FOR RENT LOCATION BUNJU A SHULE INAJITEGEMEA ASKING PRICE LAKI 450, 000Per ...

Sh. 150,000,000

TAREH 28/4/2025 NYUMBA INAUZWA DAR ES SALAM TZ MAHALI BUNJU B KIHARAKA.NYUMBA INA VYUMBA VITAT...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

28/4/2025Nyumba inapangishwa zipo 2Location bunju b sokoni Kodi 400000 kwa mwezi Miezi 3 au 6Vyumba...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ BUNJU (Kwa jumbe)kutembea DK 3_____________________...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 700,000

#Repost Dalalimbezibeach_semba • • • • • •#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DA...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 700,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA# APARTMENT IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- BUNJU B—————————————...

Frame inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

27/4/2025Fremu inapangishwa Location bunju A shule Kodi 250000 kwa mwezi Piga simu O745010009 au 074...

Frame inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

27/4/2025Fremu inapangishwa Location bunju A shule Kodi 250000 kwa mwezi Piga simu O745010009 au 074...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

27/4/2025Nyumba inapangishwa zipo 2Location bunju b Kodi 400000 kwa mwezi Miezi 3 au 6Vyumba 2 kimoj...

Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

27/4/2025Nyumba inapangishwa apartment Location bunju b Kodi 650000 kwa mwezi Miezi 4 au 6Vyumba 3 k...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 250,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ BUNJU A. kwa Jumbe( Nyumba lami)___________________...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 250,000

#Repost Dalalimbezibeach_semba • • • • • •APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ BUNJU A. ...

Kiwanja kinauzwa Bunju, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

Kiwanja kinauzwa kipo bunjuSpm 1521Bei tsh ml 55 maongezi Kina hat saf ya wizaraKina sarvantcoter ...