Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Karibu ujipatie Kiwanja Kigamboni Mwembe mdogo, Karibu kabisa na chuo cha Afya Kigamboni City College🏫🔬🥼
Sifa za Mradi:-
🔴 Viwanja vimepimwa na vinatambulika na wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo ya jamii.
🔴 Viwanja vimezungukwa na huduma zote za kijamii kama vile:- Umeme,Maji,Barabara na Hospitali.
🔴 Ukubwa wa viwanja ni SQM 400-800
🔴 Umbali kutoka Barabarani ni Km2 tu!.
🔴 Bei ya SQM 1 ni elfu 20000/= Tsh. (Unaweza kulipia kidogo kidogo hadi miezi 6)
🚍 Tunakwenda site siku ya Jumamosi, muda saa 10:00 Asubuhi.
☎️ Wasiliana nasi: - 0712390895 & 06213146675 & 0750177085
📍Ofisi zetu zipo Kigamboni Kijaruba, Flame ya kwanza kushoto (Opposite na Shule ya Msingi Maweni)
#mwembemdogo #dalali #dalalikigamboni #kigamboni #viwanja #kiwanjabeinafuu #kiwanja_kinauzwa #kiwanjakinauzwa #daressalaam #kigambonimpya #kigambonicitycollege #kigambonikumewakaa #kigambonibeach