Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Full furniture for rent
Vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom
Sebule jiko lenye makabati n. K
Kodi ml 1 kwa mwezi
Ipo kigamboni maweni barabarani kabisa
Tuwasiliane mapema matajili wangu
0746914709 ☎