Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#CHUMBA MASTERBEDROOM KUBWAAA INAPANGISHWA #KIMARA_MWISHO KM.(1) KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO
📌USAFILI UPO MWINGI WA BAJAJI TAXS DALADALA SHILINGI 500/=
BODA BODA ELFU 1000/=TUU.
📌ANGALIZA HII MASTER BEDROOM ITAKUWA WAZI KUZIA TAREHE:01/06/2025
KUONA NYUMBA NA KUFANYA MALIPO NILUKSA KABISAAA
•CHUMBA MASTER KIKUBWA
•NA KISEHEMU CHAKO CHA KUPIKIA NDANI
•MAJI YANA FLOW CHOONI
•SLAIDING WINDOWS
•TILES SAFI
•GYPSUM BOARD
•UMEME LUKU YAKO
•MAJI DAWASA METER YAKO
•MAZINGILA MANZURI SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
#KODI NI TZS 120,000/=X"4 "
0715949085
0782838336