Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HAYA HII WAHI SASA CHUMBA MASTER SAFI KABISA NZURI MNO IMEKALIWA MARA MOJA TU NI MPYAAAA KABISA
ITAKUWA WAZI LEO JIONITAR 20
LOCATION KIMARA SUKA
UMBALI NI KM 1,2
BAJAJI 700
BODA 1000
KODI 120,000X3
KIPO NDANI YA FENSI MAZINGIRA SAFI KABISA
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
FENI SAFI MAJI YANAFLOOR NDANI
(BACHELOR ROOM)
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
N:B
USISAHAU PESA YA TAADHALI 50000
Contact 📲
0713661530_0783661530