Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA KOROGWE AU KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*ZIKO 3 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX500/=
*KODI 220,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*HII NYUMBA UNAWEZA PITIA KIMARA KOROGWE AU KIMARA MWISHO KOTE UNAFIKA NA NJIA NZURI KWA MAGARI YOTE
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
*WSP:
*CALL:
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________
##0655256419