Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: KM 1.5 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
Ukishuka Tu Unapiga Geti Teke 🚶
Price: 320,000 × 6
☑️Sebule Kubwa
☑️Vyumba VIWILI Vikubwa
☑️Public Toilet Nzuri Ipo Ndani 🚻
☑️Kitchen With Cabinet
☑️Umeme LUKU Yako
☑️MAJI Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
☑️Reserve TANK
☑️Fenced
☑️Parking IPO 🚘
☑️Good Environment 👍
📌Itakuwa Wazi 30/07/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp