Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 4 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK12 KWA MIGUU KUTOKA LAMI NA HII MOJA ITAKU WAZI TAR 15.3.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
--------
Chumba master kikubwa
Seble kubwa sana
Hakuna jiko
Luku yako
Tiles
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
----------
Service charge 15,000
Kodi 200,000/=ร6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2
------------
Contact
๐#0676_218580(WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_kimara ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐