Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Full air condition
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
Contact
๐#0676_218580(WhatsApp)
๐#0693_673010
#Dalali_big_kimara ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐