Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam





Chumba single kizuri sana Kinapangishwa kodi Tsh 50,000x6
kimara stop over umbali dk 12-15 kwa mguu au boda boda tsh 1000 hadi kwenye nyumba
Choo shea wapangaji 3
Madirisha slaying window
Feni juu safi
Ndani ya fence ila sio ya kulaza gari
Service charge TSH 15k
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1
What saapp number 0689-547258