Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HII SI YAKUKOSA KABISA
BEI SASA NI 80K
INAPANGISHWA ,KIMARA SUKA
SIFA ZAKE
CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA
KIBARAZA CHAKO
PUBLIC TOILET NJE
UMEME NA MAJI SUBMITA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 80X6 ILIPWE ELF 80 KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 2
USAFILI UPO WA BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA KWENYE BAJAJI DAKIKA 4
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
WhatsApp link
https://chat.whatsapp.com/HxmouxCfr2j45PPTMAn3Bi
0658884015
0679997610
Msigwa
__________