Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(150,000X6) KIMARA KOROGWE KWA MKUWA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
LOCATION KIMARA KOROGWE 👉KWA MKUWA
KUTOKA MAIN ROD KM 2 BAJAJI SH.500 UKISHUKA DK 5
✔️CHUMBA MASTER
✔️ SEBULE KUBWA SANAA
SIFA ZA NYUMBA 👇
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
DILISHA KASHATA WAVU
NYUMBA AINA FENCI
USALAMA WAKUTOSHA
KODI 150K MALIPO MIEZI X6
KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA 🤝
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453