Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KILOMITA 2.3 BODA BUKU. BAJAJ 700
CHUMBA MASTER
SEBLE KUBWA
JIKO SAFI
PUBLIC TOILET
NDANI
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
MAZINGIRA TULIVU SAFI
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 250,000X8
👉🏿 BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA.....👈🏾
........NDUGU MTEJA NYUMBA HII UKILIPIA UTASUBIRI SIKU CHACHE IMALIZIKE VITU VIDOGO .............
PIGA SIMU
##0655256419
......................👈🏾