Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER KIPYAAA KABISA KUBWA SANA
KODI 120,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 2
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 58 58 64 49
MSHATI