Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


Stand alone Inapangishwa:
Unajitegemea peke yako
Location :: MADALE MTAA MZURI USHUANI
Bei yake :: 500,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
Vyumba vinne (viwili Masta)
Sebule kubwa
Jiko lenye makabati
Choo cha wageni
Fans
Paving Blocks
Fence
Electric Fence
0719082300
0692904876
0762652066
Dalali mbezi bech afirikana