Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 250,000

WAI MAPEMA UKIIKOSA HII JILAUM MWENYEWE

NI APARTMENT NZUR MNOOOOO

INAPANGISHWA

IPO MBEZI MWISHO HII NJIA YA KUELEKEA KINYEREZI KITUO MSIGANI UMBALI WA DK 8 MPKA 10 TU KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA DALADALA MBEZI MWISHO UKITOKEA KINYEREZI NI DK 3 UPO NYUMBAN

KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, 6

SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA KIKUBWA SANAA

SEBULE KUBWA SANAA

JIKO ZURI KUBWA SANAA

NA CHOO NDAN PUBLIC KIZURI MNOO

ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI

HII NYUMBA INA BARAZA MBILI YA MBELE NA KUTOKEA JIKON

INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0

BRBR NI RAFIKI KABISA KWA GARI YA AINA YOYOTE INAFIKA HADI NYUMBAN BILA SHIDA KABISA

SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA

CONTACT
0652 508128
0753 989554
=====

Bashiri Ngenzi
dalali_mbezimwisho_kibamba
Bashiri Ngenzi

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000,000

SHULE INA UZWA MBEZI LUGURUNI MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA LAMI. -----UKUBWA WA ENEO NI HEKA T...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI LUGURUNI KM1.5 KUTOKA LA...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

2bedrooms ApartmentUnfurnishedLocation Mbezi BeachPrice Tshs 1.2 million per monthContact 0625584914

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT FOR RENT 3 bedroom Price tsh laki 6000003 bedroom one bedroom is self contained sitting ro...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

INAPANGISHWA๐Ÿ’ง APARTMENT YA VYUMBA 2 (HAINA MASTER ), SEBULE, JIKO , CHOO ๐Ÿ’ฐKODI: 500,000 TSH KWA M...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION MBEZI LUGURUNI UMBALI WA KM 1.5 BODABODA SHS ELF 1000YENYE VYUMBA V2 VYA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION MBEZI LUGURUNI UMBALI WA KM 1.5 BODABODA SHS ELF 1000YENYE VYUMBA V2 VYA...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

Plot for sale Country:- TanzaniaCity:- Dar es salaamLocation:- Mbezi beach Makonde (Upande wa Juu)Pr...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION MBEZI LUGURUNI UMBALI WA KM 1.5 BODABODA SHS ELF 1000YENYE VYUMBA V2 VYA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

MPYA MPYA MPYA KABISAAPARTMENT MBEZI LUGURUNI ZINAPANGISHWALOCATION: MBEZI LUGURUNI KM1 TOKA MAIN RO...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000

DATE: 28/9/2025HOUSE FOR RENT: INAJITEGEMEA/ STAND ALONE ASKING PRICE: MILIONI 2.5TERMS OF PAYMENT: ...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,400,000

DATE: 28/9/2025HOUSE FOR RENT: APARTMENTS ULIPI MAJI ULINZI TAKA USAFIASKING PRICE: MILIONI 1.4T...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

#Repost dalali_mkuu_ubungo_tabataโ€”โ€”#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SAL...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

(450,000X6) NA (300,000X6) MBEZI KWA MSUGULI DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–APARTMENT ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™–#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: MBEZI BEACHUmbali wa Kutembea K...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

WAHI IPO MBEZI KWA MSUGULIKODI NI LAKI 300,000 X6 APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA INA VY...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 12,000,000

#PAGALE LINAUZWA MBEZI MWISHO NJIA YA MPIGI MAGOHE MACHIMBOKIWANJA KINA UKUBWA WA SQMT 336 (MITA 21 ...