Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI BEACH
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa.
Jiko
Public toilet
Slide window.
Maji yana flow
Luku yako
Garden safi
Full air condition
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 850,000/=Γ6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 8.5
------------
Contact
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beachπΉπΏ