Nyumba inauzwa Kibaha, Pwani


๐SHAMBA LINAUZWA
#MAHALI KIBAHA BOKO TIMIZA
๐#ENEO_LINAUKUBWA_WA_HEKA 7
๐#SIFA_ZA_ENEO
๐ENEO LINA NYUMBA YA VYUMBA V3 VYA KULALA,
๐KIMOJA NI MASTER BEDROOM,
๐SEBULE YENYE DINNING ROOM,
๐JIKO NA PUBLIC TOILET.
๐ENEO LIMEOANDWA MAZAO MBALIMBALI KAMA VILE (MAEMBE,MICHUNGWA,MINANASI,MIGOMBA,MIKOROSHO,
MIHOGO)
๐ENEO LIMEJENGWA MABANDA MAWILI YA KISASA YA KUFUGIA NG'OMBE NA PIA KUNA BWAWA KUBWA LA KUFUGIA SAMAKI LIMEJENGWA TAYARI NA LINA SAMAKI.
๐MAJI YA DAWASCO YAPO PAMOJA NA UMEME
๐PIA KUNA TANKI KUBWA LA KUHIFADHIA MAJI LIPO SITE
๐BARABARA NI RAFIKI NA INAFIKA MPKA SITE
๐ENEO LIPO FULL DOCUMENTS DEED
๐#BEI: MILLION 150
๐ SERVICE CHARGE YA KUPELEKWA SITE 30000/=
๐KWA MAWASILIANO ZAIDI
โ๏ธ #0757208653