Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KALI SANA INAUZWA
INA VYUMBA VYA KULALA 3 KIMOJA MASTER , CHOO YA PABLICK 2 , SEBLE, DIANING , JIKO NA STOO .
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI INA ENEO KUBWA SANA UNAWEZA KUJENGA NYUMBA KAMA HIO TENA .
FULL DOCOMENT NYUMBA INA HATI VYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KWA MAMZAIRE KUTOKA KWENYE BARABARA YA ZEGE DAKIKA 5.
BEI MILIONI MIA MOJA SABINI NA TANO.
SERVES CHARGE 30000
0746 433 854