Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿HOUSE FOR SALE/INAUZWA
Location: KIMARA SUKA
✔️Sebule Kubwa Sana ✔️Dinning Room
✔️Vyumba V3 Vikubwa ✔️Kimoja Master
✔️Jiko Kubwa Zuri ✔️Public Toilet Nzuri 🚻
✔️Ipo Kwenye Fence ✔️Parking Space Kubwa 🚘
Servant Quarter Ipo Sebule, Chumba Master Na Jiko
Ukubwa- SQMETER 500
Umbali- KM 1.3 Kwa Gari
Usafiri 24Hours Boda 1000
BEI SH MILIONI 150
Maongezi Yapo 🤝
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp