Nyumba inauzwa Kivule, Dar Es Salaam


JUMBA NI KUBWA SANA HUJUTII
Nyumba inauzwa ipo kivule ccm (Dar Tz)
Vyumba v4 dining siting jiko
šBEI MILION 35 INAPUNGUAš
Jipsam maji umeme
Floo yake ni zege
Dakika moja tu unafika balabala kuu
FENSI TAYARI KWA NYUMA NA UBAVUMI (bado kumalizia mbele tu)
Eneo sqm 500 (makadilio)
Gari moja had mjini
Whatsap au piga 0788156493 0614130017 0760053111